HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 6, 2010

Ze Dogizz

msela akikatiza lodini na Dogiz la mwituni (Fisi) huku akiwa hana noma wala nini.

4 comments:

  1. watu wengine sio wastaarabu kbs yaani hilo dubwasha na harufu linayotoa sipati picha wananchi barabarani inakuweje

    ReplyDelete
  2. Sasa hii imezidi kupita kiasi chake. Huyu jamaa anatakiwa ashitakiwe, maana huyu si mnyama afungwaye, sasa jamaa wa mali ya siri wapo wapi? Maana pia ni hatari sana kwa watu. Mambo mengine kwakweli huwa yanatia aibu sana, yaani anatakiwa akamatwe mara moja.

    ReplyDelete
  3. Hii ni Afrika Magharibi Niliona Picha zengine sijui wapi wamepiga hao jamaa na mafisi ila wamewafunga midomo ila kwangu ni badi hatari alafu wana minyani ile mikubwa kama baboon hawa watu hatari pia wanaonesha wana roho mbaya.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad