Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Dr.Guido Westerelle ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Dr.guido Westerwelle(wapili kushoto) pamoja na Waziri wa Maendeleo wa Ujerumani Bwana Dirk Niebel(kushoto) ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment