HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 23, 2009

Maisha Ni Kusaidiana

micleo katika pita pita zangu za Mtaa Kwa Mtaa,nilikutana na wawili hawa wakiwa wamebeba watoto wao kila mmoja katika mgongo wake,nilifurahi sana na nilifarijika sana kuona wawili hawa  wakitoa darasa kwa kina sisi japo si kwa kuambiwa,kwani hicho kitendo tu ni darasa tosha kabisa kwetu.Bigi apuu sana kwa wawili hawa kwani kitu walichokifanya ni kitu cha faraja sana katika mapenzi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad